Friday, August 28, 2015

Anonymous

Zaidi ya wagombea 30 ubunge wa CCM waliopitishwa kujiunga na UKAWA Jumamosi! #TetesiMtaani

TETESI Mtaani leo:
Katika kile ambacho inasemekana itakua pigo kwa CCM kuna wagombea zaidi ya 30 ambao wamepitishwa na CCM ambao wameamua kuvaa gwanda na watatambulishwa rasmi Jangwani. Asilimia kubwa wanatokea kanda ya ziwa na kadhaa kanda ya kaskazini, mpaka Jana jioni walikua wameshahakikishiwa usalama wao ili kujiunga na jeshi la ukombozi wa malofa. Aluta continua

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.