Kwenye Uheard ya leo Taarifa zilizomfikia Soudy Brown ni kuhusu mfanyabiashara wa vifaa vya furniture kumchukulia RB Linex
baada ya kuchukua kabati la nguo na TV tangu mwaka jana na mpaka sasa
hajalipa..amesema alikwenda dukani akalipia laki sita na kuahidi baada
ya wiki moja atamalizia..alichukua TV ya 700,000 na kabati la nguo la
250,000.
Amesema tayari ana RB yake na atakapokutana nae popote atamfikisha mahakamani.
Linex mwenyewe amesema ni kweli anamdai na jana alishamtumia kiasi
kidogo cha pesa lakini amemlaumu kwa kudai hayo ni mambo ya kumalizana
wenyewe.
Msikize hapa mfanyabiashara anayedai, Linex mwenyewe wakizungumza na Soudy Brown kwenye Uheard

Note: Only a member of this blog may post a comment.