Thursday, August 27, 2015

Anonymous

UEFA Champions League: Haya ndio makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2015/2016

Baada ya kuanza kwa Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya, August 27 ni siku ambayo yanapangwa makundi ya klabu bingwa Ulaya kwa msimu wa 2015/2016. Makundi hayo tayari yamepangwa katika droo iliyofanyika Monaco Ufaransa.
123
Hafla ya upangwaji makundi imehudhuriwa na wachezaji kadhaa maarufu wa soka akiwemo Andre Iniesta, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Luis Suarez na wengine wengi. Nakusogeza karibu na makundi yote nane ya UEFA 2015/2016.
54
Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE itachezwa mwezi Mei 2016 Sansiro Italia
Kundi A
  1. PSG
  2. Real Madrid
  3. Shakhtar Donetsk
  4. Malmo
Kundi B
  1. PSV
  2. Man United
  3. CSK Moskva
  4. Wolfsburg
Kundi C
  1. Benfica
  2. Atletico
  3. Galatasaray
  4. Astana
Kundi D
  1. Juventus
  2. Man City
  3. Sevilla
  4. Monchengladbach
Kundi E
  1. FC Barcelona
  2. Leverkusen
  3. Roma
  4. Bate
Kundi F
  1. FC Bayern
  2. Arsenal
  3. Olympiacos
  4. Dinamo Zagreb
Kundi G
  1. Chelsea
  2. Porto
  3. Dynamo Kyiv
  4. M Tel-Aviv
Kundi H
  1. Zenit
  2. Valencia
  3. Lyon
  4. Gent

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.