Muimbaji wa Mwana, Alikiba Jumatatu hii alikutana uso kwa uso na
msanii wa Marekani, Ne-Yo kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika jijini
Nairobi, Kenya.
Alikiba na Ne-Yo walijumuika pia na wasanii wengine wa Afrika
wakiwemo Wangechi (Kenya), Dama Do Bling (Mozambique), Ice Prince
(Nigeria) na Maurice Kirya (Uganda).
Wasanii hao watarekodi wimbo wa pamoja. Msimu mpya wa Coke Studio Africa utazinduliwa Oktoba mwaka huu.

Note: Only a member of this blog may post a comment.