Tanzania bado iko kwenye
headlines za uchaguzi ambapo mpaka sasa wapo Wabunge kadhaa mwaka
huu inawezekana tusiwaone kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
August 03 Katibu wa Ccm wilaya ya Iramba
kayatoa matokeo ya Jimbo hilo ambapo ameanza kwa kutoa idadi ya
Wanachama wa Ccm wote 59,393,Kura zilizopigwa 33,825,kura zilizoharibika
367 na kura halali ni 33,452

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba amepata kura 28,778,Juma Hasani Kilimba 2375,David Kitundu Jairo 2064 na Amoni Julius Gyunda 241.

Note: Only a member of this blog may post a comment.