Monday, August 3, 2015

Anonymous

List ya Wanamuziki 10 wanaoingiza pesa nyingi kwa sasa Kenya...wapo Watanzania pia!

Ni good news ndani ya nchi nyingine staa wenu wa muziki anafanya poa… kiukweli tumeusikiliza SANA muziki toka nje ya TZ sasa ni time yetu kuteka headlines kwenye nchi zao pia.
Kwenye stori kubwa Kenya iko pia hii ya list ya wanamuziki wanaoingiza pesa nyingi kwa sasa Kenya, list ambayo imepata baraka ya MCSK na KECOBO ambao ni wasimamizi wa hakimiliki nchini Kenya. 

Hawa ni wanamuziki wa Kenya wanaoingiza pesa nyingi zaidi.
1.Sauti Sol
2.Bahati
3.Lady Wanja
4.Willy Paul
5.Mum Cherop
6.H-Art the Band
7.Gloria Muliro
8.Rabbit ‘King Kaka’
9.John De Mathew
10.Hellena Ken 

Hii ni list ya jumla ya wakali wanaoingiza pesa nyingi zaidi 
1. Diamond (Tanzania)
2.Sauti Sol
3. Christina Shusho (Tanzania)
4. Alikiba (Tanzania)
  1. Bahati
  2. Lady Wanja
7. Jose Chameleon
8. Rose Mhando (Tanzania)
  1. Willy Paul

  • Koffi Olomide
  • USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

    Subscribe to this Blog via Email :

    TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

    Note: Only a member of this blog may post a comment.