Thursday, August 27, 2015

Anonymous

LOWASSA mtu wa vitendo zaidi, maneno kawaachia wenye maneno

Oooh Lowassa Sijui hajui kuongea, hotuba zake ovyo sijui kalikwenda kakarudi, watz bana cjui vipi... Kwa sasa hatuwataki tena watu wenye maneno mengi na hotuba ndefu na tamutamu zilojaa ahadi hewa, tunataka vitendo, maneno tushaskia sana yanatosha, now ni action tu, big up Lowassa. Wanaotaka maneno waende kwa wenye maneno wanaotaka vitendo tubaki na Lowassa wetu!
-By CK

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.