Aliyekuwa bosi wa Channel O Afrika, Lee Kasumba amemmwagia sifa kibao staa wa ‘Nana’ Diamond Platnumz.
Lee ambaye ni miongoni mwa watu wanaoheshimika na wenye ushawishi
zaidi kwenye tasnia ya habari barani Afrika alikuwa bosi wa kituo hicho
kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2011. Alistaafu mwaka jana na
inahusishwa kuja kuwa miongoni mwa mabosi wa Roc Nation Afrika, ya Jay
Z.
Kupitia Instagram, Lee ambaye ni raia wa Uganda alirepost video ya
Diamond alipokuwa akitumbuiza hivi karibuni huko Arusha wakati Edward
Lowassa alipokuwa akitangaza nia ya kuwania urais kupitia chama chake
cha awali, CCM, na kumwelezea Diamond kuwa mmoja wa wasanii
wanaokubalika na watu wa kila kundi.
Yesterday I watched a Tedx talk about letting people buy music as
opposed to telling them too…It really got me thinking.The reality is
sadly most artists are trying to “make people buy their music”…the
people I’m referring to are the ones on Instagram,Twitter people that
have fancy phones & pay cable, seemingly limitless data.
This isn’t inheritanly bad it’s just that – those people form a small
fraction of the market. Especially in Africa. Subtract from that at
least 80% because real talk only 20% of that small fraction of the
market those will actually pay for your music or shows or merchandise.
Because the reality is they all feel famous too and just want a follow
back, retweet, reply,repost- you get where I am going with this.
The real people that will actually keep you afloat;make you a superstar and buy your music,merchandise & concert tickets -they are out there & live beyond this social media exo system. ..In order to be a superstar you have to spread your reach beyond “the island or sandton “… It’s the streets that will make you. I firmly believe that even in this “digital age” African music can only thrive if there is a bridge between digital media,traditional media & the streets.

Note: Only a member of this blog may post a comment.