Irene Uwoya baada ya kushinda vita maalum hakusikika kwenye vyombo vya habari akizungumza lolote juu ya ushindi huo…lakini Soudy Bown hakuridhika na ukimya wake akaamua kumtafuta mtu wake wa karibu ili aweze kuzungumzia ushindi wake.
Soudy alimtafuta Msami na kuweza kuzungumza naye
kutaka kujua machache kuhusu ushindi wa Irene Uwoya na amesema kwanza
yeye si mpenzi sana wa mambo ya siasa na baada ya Irene kumwambia
alifurahi na pia anashukuru kwa hatua aliyofikia.
Bonyeza play au download hapo chini kumsikiliza!
Bonyeza play au download hapo chini kumsikiliza!

Note: Only a member of this blog may post a comment.