Thursday, August 27, 2015

Anonymous

CHUCHU Amfuata Ray UKAWA

RAY (1)
STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans.
STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans ameamua kumfuata mchumba wake ambaye pia ni muigizaji, Vincent Kigosi ‘Ray’ katika vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Akizungumza na Amani, Chuchu alisema kuwa kupitia Ukawa, ameamua kuingia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuanzia sasa atambulike kama mmoja wa wanachama wa chama hicho.
“Nimeamua kumfuata mchumba wangu Ray baada ya kujiona sina chama cha kwenda, na soon nitaanza kuonekana katika magwanda,” alisema Chuchu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.