Wednesday, August 26, 2015

Anonymous

CHRIS BROWN ashambuliwa na mashabiki kwa kuchora tattoo mpya ya kichwa! -PICHAZ

Baada ya kupata matokeo tofauti na alivyotarajia, Chris Brown amelazimika kuiondoa picha ya tattoo yake mpya aliyochora nyuma ya kichwa baada ya mashabiki kumshambulia.
breezy tattoo
“#onehellofanight #legendarynights #OHB do what you want and if u aint wit the bandwagon u will be soon #KEEPIT 100” aliandika Breezy kwenye post ya picha hiyo.
Hizi ni baadhi ya tweets za kumshambulia kutoka kwa mashabiki;
-“The Music industry is eating him alive”
-“It looks ridiculous. I guess when you have money and you don’t have anything else to do you do ridiculous sh*t”
-“Chris Brown’s gonna regret the tattoo after the cocaine leaves his system”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.