Friday, August 28, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: UKAWA Wakatazwa Kujenga Jukwaa Jangwani-Hii sasa Vita Police vs UKAWA


Hvi sasa kuna watu (wazee wa wapigwe tu) wamefika viwanja vya jangwani na kuwataiti mafundi wanaondelea na maandalizi ya uwekaji jukwaa kwaajili ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA hapo kesho 29-08-2015 , hao wana usalama wamewataka mafundi hao kuwaonyesha kwanza kibali kinacho waruhusu wao kufanya kazi hiyo , la sivyo hakuna kujenga jukwaa hilo. More news and pictures to come, stay tuned www.kandiliyetu.com Aluta Continua... 
-JF

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.