Baadhi ya ndugu,
jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke
Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati
walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi
Mshindi wa TMT
2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi
waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo
Wakiendelea kumpongeza
Wakitoa Mkono wa pongezi kwa mshindi wakati akipita kuelekea nyumbani kwao
Akipongezwa na wadau wake
Kwa hisia huku akifurahi
Alipokelewa hivi na vijana wenzie
Kila Kona walijitokeza wadau kumpongeza
Ndugu, Jamaa na marafiki wakimpokea mshindi wao na kumpongeza kwa kuibuka mshindi na kuiwakilisha kanda ya kaskazini vyema
Mama Mzazi wa Mshindi wa TMT 2015,
Dennis Lwasai akimkumbatia mwanae na kumpongeza kwa kuibuka kinara wa
TMT 2015 na kuondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania
Mama mzazi wa mshindi wa TMT 2015
Dennis Lwasai akitoa maneno ya shukrani kwa vijana na watu waliojitokeza
kumpokea Dennis wakati akirejea kwao Moshi hapo jana
Dennis Lwasai
mshindi wa shindano la tmt 2015 #mpakakieleweke akitoa maneno ya
shukrani kwa vijana na watu wote waliojitokeza kumpokea mapema jana
wakati akirejea nyumbani Kwao Moshi

Note: Only a member of this blog may post a comment.