Friday, August 21, 2015

Anonymous

8 PICHAZ: Shuhdia ACT Wazalendo Walivyotambulisha Mgombea URAIS na Mgombea Mwenza!


Najua nina watu wangu wanaopenda stori za siasa sasa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwenye Chama cha ACT-Wazelendo ambacho leo kimepitisha majina mawili , Anna Elisha na Mussa Yusuph kuwa wao wagombea urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Tanzania October .

.Kiongozi wa ACT- Wazalendo Zitto Kabwe

Hawa ndio walioteuliwa kugombea urais kupitia chama cha ACT – Wazalendo , Anna Elisha na Mussa Yusuph.

Kitila Mkumbo akizungumza na wanachama.


USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.