Saturday, July 11, 2015

Anonymous

UNCONFIRMED: LOWASSA Kuondoka na Kundi Lake na Kugombea Uraisi Kupitia ACT

Habari katika kambi ya Lowasa wakishirikiana na Zitto wanamshawishi ndugu Edward Lowasa kuhamia ACT na kundi lake na kugombea urais kupitia chama hicho.

wanaamini kuwa anawafuasi wengi na akikosa mwaka huu hatopata nafasi nyingine tena maiashani mwake kwa ushawishi alionao ndani ya jamii
More updates will follow...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.