Saturday, July 11, 2015

Anonymous

Magoli ya Mkono Yameanzia Robo Fainali, Shikamoo NAPE! Umetisha Sana!

Niliposikia Nape anazungumzia ushindi lazima hata kwa goli la mkono, binafsi niliona kama ucheshi/comedy,lakini kwa yaliyotokea Dodoma tokea mwanzo wa mchakato wa kuteua 5 bora, tayar wao kwa wao wameanza kulalamikiana juu ya faulo wanazochezeana.Tayari Bw. Kimbisa,Nchimbi, Mama Simba washamfunga paka kengere.Watoto wa mijini wanasema WAMEKINUKISHA.Kutokana na kuendekeza dhambi ya ubaguzi kwa wenzao(Wananchi & Vyama pinzani),sasa CCM imegeuka MBWA MWITU wanatafunana wao kwa wao.Narudia tena Shikamoo NAPE..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.