Saturday, July 4, 2015

Anonymous

MASKINI LUNGI Wa Bongo Movies! Afanyiwa KITU MBAYA Usiku Nyumbani Kwake Baada Ya Kwenda Kujirusha

LUNGIzMsanii wa Bogo Movie, Lungi Maulanga.

Brighton Masalu
MWANAMAMA na ‘mtoto wa mjini’, Lungi Maulanga ameibiwa baadhi ya vitu vya ndani wakati akiwa katika matembezi ya usiku.
Akizungumza na gazeti hili, Jumatano wiki hii, mmoja wa marafiki ‘changu ni chako’ wa msanii huyo ambaye hakutaka jina lake ‘lichorwe’ gazetini, alisema tukio hilo la hasara lilitokea usiku wa Jumanne nyumbani kwa Lungi Magomeni jijini Dar wakati akiwa kwenye ‘kujirusha’.

Baada ya kuzinyaka habari hizo, paparazi wetu alimtafuta Lungi ambaye alikuwa na haya ya kusema “Ni kweli nimeibiwa vitu kadhaa ikiwemo tv na deki, ukweli nimechoka sasa sababu hii siyo mara ya kwanza kuibiwa hapa ndani, najiandaa kuh
ama.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.