Majina matano ya waliopitishwa kwenye tano bora ya Wagombea CCM tayari imethibitishwa, niko ndani ya Dodoma kuhakikisha kwamba kandiliyetu.com inakupa updates zote zinazoendelea leo July 11 2015 moja kwa moja.
Ninazo picha tayari kutoka Makao Makuu ya CCM katikati ya Jiji la Dodoma, hiki ndio kinachoendelea kwa sasa.

Naibu Waziri January Makamba. Jina lake lip[o pia kwenye walle watano waliopitishwa.

January Makamba akisalimiana na Waziri Steven Wasira na George Mkuchika.

January Makamba akisalimiana na Waziri Lazaro Nyalandu.

Waziri Nyalandu na Naibu Waziri Mwigulu Nchemba.

Aliyekuwa Meya waDar, Jerry Silaa

Waziri Bernard Membe, jina lake lipo pia kwenye wale watano waliopitishwa.

January Makamba kwenye pozi la selfie.

Mbunge Ridhwani Kikwete.

Huyu jamaa alionekana Arusha pia kwenye Mkutano wa Lowassa akiwa amejiandika hivihivi, leo yuko Dodoma pia nje ya Makao Makuu ya CCM.

Watu wa usalama wako jirani pia.

Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja.

-Picha zote wa hisani ya millardayo
Note: Only a member of this blog may post a comment.