Wednesday, June 3, 2015

Anonymous

PICHA nyingine gumzo mitandaoni ikimuonesha Rais Mugabe amesinzia kwenye sherehe Nigeria! Waziri Husika Aja Juu...

Mugabe-Sleeping-600x369
Sio picha ya kwanza kutoka ikimuonesha Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe akiwa amesinzia kwenye matukio mbalimbali makubwa.. safari hii kapigwa tena picha akiwa amesinzia wakati wa sherehe za kuapishwa Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari.
Waziri wa Mawasiliano Zimbabwe, Prof. Jonathan Moyo kaingia kwenye ukurasa wake @Twitter na kupost Tweets zilizoonesha hajaipenda hii !!
MUGABE II mugabe III
Sahara Reporters wanalaumiwa moja kwa moja kwa kupiga picha hiyo na kuisambaza mitandaoni.
Hapa nina picha ambazo waliwahi kupigwa viongozi wengine wakubwa baada ya kukutwa wamesinzia

Abdurrahman Wahid, picha hii ilipigwa wakati huo alikuwa Rais wa Indonesia

Naoto Kan, aliwahi kuwa Waziri Mkuu Japan na Waziri wa Fedha vilevile

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.