Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Monday, June 1, 2015
Anonymous
NOMA SANA: [6 PICHAZ] MTANGAZAJI TAJIRI DIDA WA TIMES FM BAADA YA KUACHIKA MARA TATU AOLEWA NA POMBE!
Dida Shaibu mtangazaji wa Times fm radio baada ya kuachika mara tatu ameamua kujiozesha kwa pombe.Anajiita baby wake saint Anna hii niaina ya pombe ambazo amezijaza zakutosha sebleni kwake.Lakini amekua akichepuka na pombe zingine kama Amarula. AKIJIBURUDISHA NA FLEVA YA SHISHA.
Note: Only a member of this blog may post a comment.