Sunday, May 31, 2015

Anonymous

Nancy Sumary na Dada Yake Nakaya Kunani? Je, ni Kweli Kuna Beef Kati ya Hawa Ndugu Wawili?

Nasikia Habari ya Mjini ni kuwa Hawa Ndugu wawili wa Damu Nancy Sumary na Dada yake Nakaya Kwa sasa Haziivi Hata Kidogo...Je Kunani Ama ni Uzushi tu ...Embu kwa Anaye jua A-Z atujuze....Maana Sitaki Kuamini Jinsi walivyokuwa wanapendana..eti sasa kila mtu kivyake....

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.