Monday, June 1, 2015

Anonymous

JACQUELINE WOLPER AWALETEA USWAHILI MASHABIKI!


Wolper kupitia kampuni ya Delta Africa jana saa saba mchana washindi walioshinda shindano la kumtambua picha yake iliyofichwa sura aliwaahidi angewapa zawadi zao za simu aina ya alcatel.Baada yake ameadilisha muda akidai amepata dharula na kupanga muda tofauti wakutane Mlimani city.Wasanii wengi wamekua wakikosa dili za makampuni kutokana na kutojali muda na kuamua mambo kiswahili.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.