Msanii wa muziki Linah Sanga, ambaye anapambanishwa kwa sasa na staa wa filamu Wema Sepetu kutokana na kitendo cha mwigizaji huyo kuanzisha mahusiano na mwanaume aliyekuwa ni mpenzi wa Linah kipindi cha nyuma, ameamua kutoa ya moyoni.
Linah ameieleza eNewz kuwa, licha ya yote yaliyotokea kati yao, kwa upande wake anamchukulia Wema kama mtu mwingine wa kawaida, akieleza kuwa hana kinyongo naye, akieleza dhahiri kuwa anaelewa kuwa staa huyo ana madhaifu yake kama ilivyo kwa binadamu mwingine yoyote yule.

Note: Only a member of this blog may post a comment.