Tuesday, June 23, 2015

Anonymous

IYANYA ASEMA BILA MUZIKI ANGEKUWA MFANYABIASHARA!

Lagos Nigeria TANGU aliposhinda mashindano ya kwanza ya kutafuta mwanamuziki mwenye kipaji ambayo yalitayarishwa na kampuni moja kubwa ya mawasiliano, Inyanya, mwanamuziki wa Nigeria na mtunzi wa wimbo wa ‘Kukere’ amekuwa ‘gumzo la mjini’.
Katika mahojiano na kituo cha televisheni cha MTV, mwanamuziki huyo kutoka jimbo la Cross River aliyepandishwa chati na wimbo wake wa ‘Kukere’,  amesema kwamba kama asingekuwa mwanamuziki angekuwa mfanyabiashara.  Hata hivyo, hakusema ni biashara gani angeifanya.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.