Tukiwa tunaungana na mashabiki wa Hiphop duniani kote kumkumbuka rapper 2pac kifo chake ambacho kilitokea tarehe na mwezi kama waleo September 13 1996, kuna baadhi ya picha ambazo hujawahi kuziona za msanii huyo.

Picha hizo zilizopigwa na Gobi, ni picha ambazo zimechezza kwenye miaka ya 94 wakati 2Pac anaperforme Chikago na zingine ilikuwa ni mwaka 1995.











Note: Only a member of this blog may post a comment.