Tuesday, April 21, 2015

Anonymous

MECHI ya Yanga Vs Stand United ilivyokua!

Dakika 90 za mchezo wa ligi kuu Vodacom Tanzania kati ya timu ya Stand United ya Shinyanga na Yanga zimemalizika kwa timu ya Yanga kuifunga Stand United bao 3-2

Mchezo umefanyika katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam
FT' Yanga 3 - 2 Stand United
Magoli Ya Yanga=>Tambwe 30, Ngasa 45, Msuva 77(Penati)
Magoli Ya Stand United =>Kheri Khalifa 21, 65)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.