Monday, April 20, 2015

Anonymous

HABARI NJEMA ARSENAL: Waandaa Dau Hili kwa kiungo huyu wa Real Madrid!

isco 
Arsenal imeanza mikakati yake ya kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu ya England na safari hii imeanza mbinu zake za kutaka kunasa saini ya kiungo wa Real Madrid.
Meneja wa klabu hiyo Arsenal Wenger amemtengea kiungo Isco Roman kiasi cha pauni milioni 35 ili aweze kuhamia ndani ya klabu hiyo.
Arsenal ambayo imetinga hatua ya fainali michuano ya FA itakutana na Aston Villa katika uwanja wa Wimbley, London pia imepanga kuwasajili nyota wengine msimu ujao.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.