Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Tuesday, April 21, 2015
Anonymous
"CCM SIO MAMA YANGU, MIMI NI..." Mzee Moyo Afunguka Baada ya Kufukukuzwa CCM
Nassoro Moyo:- Akihojiwa na DW radio, amesema hana mpango wa kukata rufaa na CCM si baba yake. Kamnukuu Nyerere alivyotamka CCM si mama yake. Yeye ni muumini wa serikali tatu.
Note: Only a member of this blog may post a comment.