Inawezekana
ukubwa wa singo kadhaa ambazo zimewahi kuhit zinatokana na uvumilivu wa
baadhi ya watayarishaji wa kazi hizo za muziki (producers)...
SOMA ZAIDI HAPA===>>http://www.kandiliyetu.com/2015/03/unajua-muda-ambao-mwana-ya-ali-kiba.html
SOMA ZAIDI HAPA===>>http://www.kandiliyetu.com/2015/03/unajua-muda-ambao-mwana-ya-ali-kiba.html
Man Walter kazungumzia hili; ‘Mimi mara nyingi ngoma ambazo zimekaa muda mrefu na kuchelewa kutoka ni pamoja na ‘Mwana’ ya Ali Kiba umekaa miaka 4 studio.. wimbo mwingine ni wa Mr.Blue ‘Nipende Kama Nilivyo huu ulikaa miaka 5‘
‘Kwa
wakati mwingine msanii anaweza asishtukie kama huu wimbo ni mkali
tunaweza tukaanza idea tukaicha, tukarukia zingine zikaendelea kutoka
lakini baadaye mi’ sikio linarudi kwenye kile tulichokianza wakati huo
miaka ishaenda, ninapokifurumua inakua issue sasa yeye msanii kwake
anaona kitu kipya‘
‘Tunapopata
kitu kipya kwa wakati huo inabidi tukumbuke tulianza lini na ndipo
tunapoanza kujumlisha miaka tunapata miaka mingi zaidi‘.
-via Millardayo

Note: Only a member of this blog may post a comment.