Mwili wa aliyekuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection,Ulitegemewa kusafirishwa mchana huu kuelekea Morogoro kwaajili ya mazishi.
Lakini Polisi wamedai bado wanaendelea na uchunguzi wa mwili hivyo mwili hautoweza kusafirishwa mchana huu,mpaka Polisi watakapo maliza uchunguzi..
Tupia R.I.P yako kama ishara ya kumuombea ndugu yetu huyu apumzike salama.


Note: Only a member of this blog may post a comment.