Sunday, March 15, 2015

Anonymous

Lulu Michael: "Fedha za KUHONGWA na Wanaume ni Nzuri Lakini...."

UBUYU: Mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ ametoboa kuwa fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.

Lulu alisema kuwa wasichana walio wengi wanapenda kupokea fedha na vitu mbali mbali kutoka kwa wanaume lakini changamoto kubwa inayowakuta ni namna ya kulipa fadhila ya walivyopewa.

"Vitu vya kuhongwa ni vizuri lakini vina presha kubwa katika suala la kulipa fadhila kwani msichana unalazimika kufanya kila aina ya ujuacho ili kumtuliza mwandani wako asikukimbie au kukunyang'anya vitu vyake."
JF-Warumi

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.