Sunday, March 15, 2015

Anonymous

HUU NDIO UKWELI KUHUSU KIFO CHA MWANAMIELEKA JOHN FELIX CENA!




Katika siku za hivi karibuni mcheza mieleka maarufu John Felix Anthony Cena amekuwa moja ya wahanga wa mitandao ya kijamii baada ya kuzushiwa kifo.

Habari zimesambaa kwa wingi mtandaoni kuwa Cena amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata lakini si kweli!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.