Saturday, February 7, 2015

Anonymous

UTATA MTUPU! PICHA YA WEMA NA OMMY DIMPOZI WAKIWA BAFUNI ILIYOVUJA YAZUA SINTOFAHAMU!

Ukiona manyoa?! Hatimaye zile tetesi na hisia za kwamba mwaigizaji Wema Sepetu na msanii wa muziki Ommy Dimpoz kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi zimekuwa kweli kwa zaidi ya asilimia 99, hii kutonana picha waliopiga jana usiku wakiwa bafuni huku Wema akiwa amevalia taulo “flan amazing” huku kijana Ommy akionekana kwa mbaliii kama ananawa mikono.

Picha hii iliamsha watu kibao usiku wa jana hasa wale Team Wema kindakindaki..kwani comments na likes zilivyo tiririka utadhani picha imewekwa saa sita mchana, kumbe ni usiku wa mamane.
Haya jamani sisi tunawatakia kila la kheri, kwani wengi wamesema hii ni couple flan amazing.

JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.