Mh. Temba pamoja na Chege wakionesha manjonjo stejini.
Madee akiwa na wacheza shoo wake kwenye hafla hiyo wakitoa burudani.
KATIKA ukumbi wa Escape One jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia
leo kulikuwa na uzinduzi wa video za wasanii nyota watatu, Mh. Temba na
Chegge kwa pamoja wakiwa na video yao ya Kaunyaka, huku Madee akiionyesha kwa mara ya kwanza Vuvula, kazi ambazo ziliwapagawisha kwa kiwango kikubwa mamia ya mashabiki waliojazana ukumbini hapo.
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
(PICHA NA: DENIS MTIMA / GPL)

Note: Only a member of this blog may post a comment.