Na Musa MAteja
Udhalilishaji! Picha za ngono zilizozagaa katika mitandao ya kijamii za Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, zikimuonesha akifanya ufuska na mrembo chumbani zimemliza mchumba’ke, Siwema ambaye ameamua kumsusia mtoto wao mchanga.
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zilimiminika kwamba, baada ya kusambaa kwa picha hizo kuliibuka tafrani nyumbani kwa wapenzi hao, Kimara jijini Dar ambapo Siwema alidai kuondoka usiku wa manane akimwacha mtoto mchanga.
Baada ya kupata habari hiyo gazeti hili
lilimtafuta Nay ili kuzungumzia sakata hilo ambapo alikiri kuzijua picha
hizo lakini akashangaa ni nani aliyempenyezea umbeya mchumba’ke na
kwamba ni kweli mama mtoto wake huyo alilia japokuwa alitumia nguvu
kubwa kumweka sawa na sasa maisha yanaendelea.
Kwa upande wa Siwema alisema: “Nay amenipa maelezo juu ya picha hizo ingawa tulikuwa tumefikia pabaya sana kiasi cha kutaka kuondoka kwake lakini kanielewesha.
Udhalilishaji! Picha za ngono zilizozagaa katika mitandao ya kijamii za Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, zikimuonesha akifanya ufuska na mrembo chumbani zimemliza mchumba’ke, Siwema ambaye ameamua kumsusia mtoto wao mchanga.
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zilimiminika kwamba, baada ya kusambaa kwa picha hizo kuliibuka tafrani nyumbani kwa wapenzi hao, Kimara jijini Dar ambapo Siwema alidai kuondoka usiku wa manane akimwacha mtoto mchanga.
Kwa upande wa Siwema alisema: “Nay amenipa maelezo juu ya picha hizo ingawa tulikuwa tumefikia pabaya sana kiasi cha kutaka kuondoka kwake lakini kanielewesha.
MASKINI BANZA STONE: UGONJWA HUU UTANIUA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.