Njemba ikiwa kando ya barabara ikiwa chakari kutokana na kinywaji kilichosadikiwa kilikuwa katika chupa inayoonekana kando.
NJEMBA moja imenaswa na kamera yetu ikiwa ‘tilalila’ mchana huu kutokana na ‘kubugia’ kilevi na kujikuta, bila kujitambua, imelala pembezoni mwa barabara maeneo ya Sinza-Afrika Sana Jijini Dar, jambo ambalo ni hatari.
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
(PICHA NA DENIS MTIMA /GPL)

Note: Only a member of this blog may post a comment.