Monday, February 9, 2015

Anonymous

ESTER: NINA ‘PROJECT’ NA DUDE!

 Msanii wa filamu anayechipukia Bongo, Ester Kiama akipozi.
Stori:Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda 
MSANII wa filamu anayechipukia Bongo, Ester Kiama, amefunguka kuwa ukaribu wake na mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ ni kwa sababu ana ‘project’ ya kazi anafanya na staa huyo. 

Akizungumza na mwandishi wetu, Ester alisema ameshangaa kusikia watu wakieneza habari kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na Dude wakati amemfuata msanii huyo mkubwa ili amsaidie akue.

“Jamani hakuna mapenzi zaidi ya ka-project ka kazi ambako ananisaidia mimi ili niweze kukua kisanaa, kikubwa nahitaji sapoti ya kisanaa,” alisema Ester.
IVORY COAST MABINGWA AFCON 2015
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.