Kim K ambaye ni mke wa rapa Kanye West ni miongoni mwa mastaa wenye vitabu ni hivi karibuni anatarajia kutoa kitabu chake cha picha za SELFIE.
Kwenye kujibu maswali machache ya mashabikki wake Kim K aliulizwa kama angepata nafasi ya kuchagua mtu tofauti wa kupiga naye Selfie Kim alijibu “My Dad, or Jesus, or Marilyn Monroe, siwezi kuamua ”
DUH! Hiki ndicho chakula ambacho Moyes aliwakataza kula wachezaji wa Man United!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU TENA!



Note: Only a member of this blog may post a comment.