Thursday, February 5, 2015

Anonymous

MSANII VAN VICKER AELEZA SABABU ZA KUINGIA KWENYE MUZIKI

Msanii maarufu wa filamu kutoka Ghana Van Vicker ambaye alijipatia umaarfu kupitia filamu zake nyingi alizocheza amejiingiza rasmi kwenye soko la muziki. Akiongea na Ghana Vibes, Van Vicker amesema ameshafanya mengi mazuri katika soko la filamu akiwa kama muongozaji (director), mtayarishaji (producer) na muigizaji (actor), hivyo ni wakati wake sasa kugeukia soko la muziki hususani soko la kimataifa la muziki. Hivi karibuni msanii Van Vicker alifanya filamu na msanii kutoka tanzania Wema Sepetu filamu iitwayo Day after Death ambayo mpaka sasa bado aijatoka.
Vack Vicker akiwa na Wema Sepetu.
DUNIA INA MAMBO! HILI NDILO JIBU LA KIM KARDASHIAN KUHUSU WATU ANAOTAKA KUPIGA NAO SELFIE! 
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.