Thursday, February 5, 2015

Anonymous

DIAMOND, ZARI WAWA GUMZO MTANDAONI KWA KUWATAKA MASHABIKI WAWACHAGULIE JINSIA YA KIJACHO WAO!

 
Diamond Platinumz na mpenzi wake ambaye inasemekana ni mjamzito Zari ze boss lady toka Uganda!
BADO UNABISHA?! Picha hizi hapa chini wametupia kila mmoja katika akaunti yake na kuwataka mashabiki wao wachague ni jinsia gani kati ya A na B.
Ukiangalia muda picha hizi zimetupiwa wakati mmoja, hii inaendelea kuthibisha ujauzito wa Zari!
 Je, una maoni gani kuhusu picha hizi?! Tupia comment yako hapo chini tafadhali!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.