Thursday, February 5, 2015

Anonymous

KINACHOENDELEA NDOA YA MREMBO MKARE AMBER ROSE NA MSELA WIZ KHALIFA

Ndoa ya wizi Khalifa na Amber Rose ilishafika mwisho na kupeana talaka, lakini tofauti na mastaa wengi, mambo yao wameyaweka kibindoni na kutokuyaongelea hadharani.

Lakini inaonekana kwa sasa uhusiano wao kama wazazi unaonekana kushindwa kuelewana kwa sababu Wiz Khalifa ameingia mtandao wa twitter na kuongea juu ya story kuwa hatengi muda wa kutumia na mtoto wake.

Kuna jamaa alimuandikia Wiz kupitia mtandao wa twitter akimuomba "arudiane na mkewe"lakini Wiz alijibu "No Thanks"
BIG SOO: PICHA ZA RAIS MUGABE AKIANGUKA ZAVURUGA MITANDAO YA KIJAMII!
===>>JIONEE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.