Thursday, February 5, 2015

Anonymous

AIBU TUPU: PICHA ZA CHUMBANI ZA NAY WA MITEGO NA MREMBO WAKIFANYA YAO MMH...!

Nay na msichana huyo wakifanya yao chumbani!
Picha hizi zimepostiwa kupitia Acc ya msanii wa Nay Wa mitego akiwa yupo kitandani na mwanadada ambae amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa wazi / unaonekana. Hali ya mwanadada huyo ameonekana akitabasamu bila kuwa na wasi wasi kitendo ambacho kinafanya tuamini kwamba labda wana shoot video, lakini sidhani kama ni sawa pia kwa maadili yetu ya Kitanzania. Pengine si vibaya lakini mazoea hayo kwetu Watanzania ni mageni.

Picha hii imeonekana kuchukiza mabinti wengi na kuenea kwa story tofauti kwa muda mfupi tangu aipost.
Alichoandika Nay Wamitego ni "Ooooh shiiiit!!!  

Kuna mambo ya kuiga jamani ila kwa hili mi kwa upande wangu msanii Nay wa mitego akiwa kama kioo cha jamii naona haliko sawa! 
Una maoni gani ukiwa kama mdau wa sanaa, wapo sahihi kwa kupiga picha kama hizi na makusudi kuzitupia mtandaoni?! 
Toa maoni yako chini tafadhali!
DIAMOND, ZARI WAWA GUMZO MTANDAONI KWA KUWATAKA MASHABIKI WAWACHAGULIE JINSIA YA KIJACHO WAO!
===>>JIONEE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.