Saturday, February 7, 2015

Anonymous

15 PICHAZ:HATARI SANA! JIONEE VANESSA MDEE NA BARNABA WAKIFANYA VIDEO YA NYIMBO YAO!

Vanessa Mdee na Barnaba Elias Feb 6, waliingia location kumalizia utengenezaji wa video mpya ya single yao iitwayo Siri, video hiyo imeongozwa na Hanscana kwenye kijiji cha Makumbusho Dar es Salaam.

Hizi ni baadhi ya picha ambazo nimekuchukulia baada ya kushuhudia utengenezaji wa video hiyo mpya, zicheki hapa zote mtu wangu.

.
.


.

.

.






Picha zote kwa hisani ya Millardayo
MTOTO MZURI ROSE NDAUKA AMEKOMA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.