Friday, March 18, 2016

Anonymous

CEO wa Shirika la Ndege FastJet Afukuzwa Kazi, Kampuni Hatarini Kuishiwa Fedha

CEO wa FastJet kuacha kazi wiki hii baada ya wawekezaji kulalamika kuwa shirika lina gharama nyingi, ikiwa ni pamoja na kuwa na makao makuu London Gatwick pamoja na kwamba shirika linafanya kazi zake Tanzania.
Mwekezaji mkubwa Haji Ioannou amesema kuna hatari kampuni hiyo kuishiwa hela mwaka huu ndani ya miezi sita.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.