Wednesday, December 21, 2016

Unknown

Serikali Yatoa Tamko Rasmi Kuhusu Taarifa Zinazodai Imewakataza Watumishi wa Umma Kukopa

Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali imepinga taarifa zilizosambaa mitandaoni zinazodai kuwa serikali imewapiga marufuku watumishi wa Umma kukopa kwenye mabenki, Saccos, Vikoba na taasisi nyingine za kifedha.
Soma taarifa hiyo hapa chini.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.