Wednesday, December 21, 2016

Unknown

"Mimi Siimbagi Uongo, Mimba ya WEMA iliyeyuka, OMMY Dimpoz Tumesikia Anapumuliwa!" -NAY wa Mitego

Msanii Ney wa mitego amedai anaimba ukweli ndio maana hata aliyoyasema kwenye wimbo wake wa shika adabu yako amesema yamekuja kuthibitika ametolea mfano kuwa wema sepetu mimba yake iliyeyuka kama alivyodai, Ommy dimpoz akatajwa anapumuliwa na diamond na shetta gari yake ya milioni 100 nayo ikayeyeuka!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.