Thursday, December 22, 2016

Unknown

Habari Njema Kutoka FIFA Kuhusu Soka la Tanzania

Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo December 22 2016 imepotoa good news kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, Tanzania leo imepokea taarifa za kupanda katika viwango vya soka vya FIFA.

Tanzania imepanda kwa nafasi nne katika viwango vya FIFA na sasa itakuwa nafasi ya 156 kutoka nafasi ya 160 iliyokuwa mwezi uliyopita, good news hiyo inakuja baada ya Tanzania kushuka mara mbili mfululilizo.

Mara ya mwisho Tanzania ilikuwa nafasi ya 144 na ilishuka kwa nafasi 16 na kushika nafasi ya 160 mwezi uliyopita.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.