Sunday, June 5, 2016

Unknown

SHILOLE na Nuh Mziwanda Wakutana Tena... Safari Hii Hawajapigana Ila Majibu ya Shishi Mmh.. Wacheki Hapa!

Kwa sasa Shilole na Nuh mziwanda washatemana na kila mtu ana mpenzi wake, huku Nuh akiwa kattutambulisha mrembo mpya na kukiwa na skendo kua Shilole katemana na Nedy. Basi kama mtakumbuka vizuri siku chache baada ya Shishi na Nuh kutemana walikutana katika Interview Clouds Tv na mwisho wa siku waliishia kupigana.

Imepita miezi mingi sasa wawili hawa hawajakutana tena mpaka juzi hapa walipokutana tena Clouds Fm katika kipindi cha XXL. Kizuri ni zamu hii hawajagombana ila kumetokea jambo moja lakushangaza zaidi pale walipokua wakiulizwa maswali na BDozen. Hebu cheki video hii kisha niambie ni nani muungwana zaidi kati ya Shilole na Nuh??

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.