
Tarehe 9 mwezi huu Nay Wa Mitego atasherehekea siku yake ya kuzaliwa na moja kati ya maswali yaliyokua yakimuumiza zaidi ni zawadi gani ajipatie kati ya kujinunulia gari au kuhamia katika nyumba yake kubwa ya ghorofa ambayo haijaisha vizuri???
Na baada ya kujiuliza sana msanii huyo ameamua kujizawadia gari aina ya Range Rover Vogue ambayo kwa maelezo yake anasema ni moja ya gari alizokua akitamani kumiliki. Lakini Nay kaunguka kua anaogopa kutangaza gari hiyo kwa sababu anamwogopa kiongozi huyu wa Serikali. Unataka kumjua ni nani??? Basi cheki video hii hapa chini Nay akifunguka...
Note: Only a member of this blog may post a comment.