Tuesday, April 12, 2016

Anonymous

Mishahara Hewa, Ilikuwa Ikiliwa na Nani? Ni Vema Tukawajua na Wachukuliwe Hatua

Naomba mnisaidie kidogo,
Ni nani hasa aliyekuwa anakula hii mishahara hewa, ni wafanyakazi waliofukuzwa /kuachishwa kazi/kufariki nk na fedha kuendelea kuingia kwenye akaunti zao au viongozi ambao walikuwa wanajua fulani amefariki /amestaafu n.k na kujipakulia hiyo mishahara?
Je, mbinu gani ilikuwa inatumika?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.